Sunday, 3 December 2017

MISINGI KADHAA YA KUKUPA UFAHAMU ANGALU UJUE NAMNA YA KUMALIZIA JAMBO ULILONALO AU WAZO LILILOKO NDANI YAKO KWA NAMNA YA KIMUNGU




Msingi wa pili
    Jifunze kuwa na mpango kazi wako unaoeleweka wenye kuanisha namna ya kufanikisha jambo lako ukimuhusisha na Mungu pia, kwa kufanya hivyo itakupa
Njia ya kujua muda wa jambo kukamilika
Aina ya resources utakazotumia(Both human and materials)
Kuandaa objectives(specifically with time framing) juu ya jambo hilo
Kujua namna ya kuanisha risks and uncertainty zitakazo emerge ndani ya jambo na aidha kutumia hiyo changamoto kama fursa kwako au ku push kwa namna ya Mungu atakavyokuongoza (Kwenye Neno la Mungu hakuna msamiati wa “Kutokuwezekana ila Yote yawezekana kwake Yeye aaminiye)(soma Zaburi 32:8, Isaya 41:18, 43:19-21)
Si mnakumbuka safari ya wana wa Israeli kila walipokutana na pingamizi njiani Mkono wa Bwana ulikuwa juu yao.
           Ebu tutazame hapa (Ujenzi wa mnara)
Luka 14:28-30 “Maana ni nani katika ninyi, kama akitaka kujenga mnara asiyetaka kwanza na kuhesabu gharama kwanza anavyo vya kumaliza”(Mpango mkakati uliofichwa ndani yake utendaji wa kazi kulingana na Gharama or “Well defined and measurable objectives extracted from the visions”)
          Asije akashindwa kuumaliza baada ya kuupiga msingi, watu wote waonao wakaanza kumdhihaki, 30 Wakisema mtu huyu alianza kujenga , AKAWA HANA NGUVU ZA KUMALIZA”
Tazama pia Ujenzi wa safina (allocations of resources) na nyumba ya Bwana walivyopangilia kimaelekezo kabla ya kuanza kwa hizo Projects

NADHIRI

MAOMBI YA NADHIRI YAAMBATANAYO NA SADAKA YA NADHIRI NENO; Mhubiri 5:4 “ wewe ukimwekea Mungu nadhiri ,usikawie kuiondoa” Maombi...